Monday, September 22, 2014

IYOBO WA AUNT: SIJAOA, NIMEZAA TU!

 MAHABAT! Dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amefunguka kuwa  hajawahi kuoa wala kuchumbia bali amezaa na mwanadada anayeitwa Mwengi.

‘Moze Iyobo’ akiwa na familia yake.

Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson akiwa na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ wakielekea uwanja wa ndege.

Dansa huyo ambaye hivi sasa anadaiwa kukolea kwa penzi la mwigizaji Aunt Ezekiel, alizidi kutiririka kuwa anachukizwa sana na watu wanavyomuita mume wa mtu wakati bado hajafikiria.
“Mimi jamani nimezaa na nina mtoto lakini bado sijaoa na wala sijafikiria kufanya hivyo,” alisema Moses.

Aunt Ezekiel akipozi kwenye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar.

LUCY KOMBA AMPA MUMEWE SHARTI LA KUTOZAA NAE HADI NAYE AWE RAIA WA DENMARK.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top