Picha juu na chini ni sehemu ya chumba cha msikiti kilichoungua.
Baadhi ya mali zilizookolewa.Baadhi ya waumini wakiwa eneo la tukio.
MSIKITI wa madhehebu ya Wahindu uliopo maeneo ya Mtaa wa Kibasila karibu na shuleya Olimpia jijini Dar es Salaam, umeteketea kwa moto leo asubuhi ambapo baadhi ya mali zimeungua na mtu mmoja kukimbizwa hospitali kutokana na mshituko.
Akizungumza na mtandao huu, shuhuda mmoja alisema moto huo umesababishwa na shoti ya umeme iliyoanzia kwenye mashine ya luku ambapo baadhi ya waumini walikuwa wakijiandaa kuupamba msikiti huo kwa ajili ya kusherekea na sikuku ya Idd el Haj.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment