Wednesday, August 20, 2014

YULE BILIONEA WA LAKE OIL ALIYEMCHAPA FIMBO VIBAYA MFANYAKAZI WAKE AJISALIMISHA POLISI.

 BILIONEA mmiliki wa kampuni ya usafirishaji na usambazaji wa mafuta Lake Oil, Ally Edna Awadh, aliyekuwa akitafutwa na Polisi kwa kosa la kushambulia na kujeruhi, hatimaye amejitokeza na kujisalimisha ofisi ya upelelezi Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es Salaam.

Aliyekuwa mfanyakazi wa Bilionea Lake Oil, Ally Edna Awadh aliyejeruhiwa na boss wake.

Masogange Releases Another Killing Photo to Attact you for her Business that Shows Off Her Blessed Assets.

Chanzo chetu cha kuaminika kimesema kuwa mara baada ya kujisalimisha, tajiri huyo alihojiwa na maofisa wa polisi kuhusu sakata lake na maelezo yake kunakiliwa. Hata hivyo, haikujulikana mara moja kama aliachiwa kwa dhamana ya masharti gani.

Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya jinai nchini (DCI)  Kamishna, Issaya Mngulu alithibitisha kujitokeza kwa Awadh ambaye alitafutwa kwa muda mrefu bila mafanikio.

“Kwa sasa jalada la kesi hiyo limeshaandaliwa tayari kwa kulipeleka ofisi ya Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP)  na baada ya hapo suala hilo linaweza kupelekwa mahakamani,” alisema Mngulu.
KWA WATU WAZIMA TU; CORAZON AMEACHIA VIDEO NYINGINE AKIKATIKA AKIWA NUSU UTUPU ICHEKI HAPA.

Bilionea huyo anakabiliwa na tuhuma ya kumnyanyapaa, kumdhulumu, kumtesa, na kumjeruhi mhasibu wake ambaye jina lake linahifadhiwa kutokana na sababu za kiusalama Mei 2, mwaka jana.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA PICHA NA VIDEO ZA SHILOLE AKIWA MZIWANDA KITANDANI ZAVUJA MTANDAONI, JIONEE MWENYEWE HAPA.
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top