Tuesday, August 5, 2014

WAWILI WAFA MAJI WAKIBATIZWA NA MAMA MCHUNGAJI WA KANISA LA POOL of SILOAM ZIWA VICTORIA.

Watu wawili wafariki kwenye Ziwa Victoria walipokuwa wanabatizwa huko mkoani Kagera
Walikuwa wakibatizwa na mchungaji Nehemia Upendo wa kanisa la POOL of SILOAM.

Polisi inafanya Uchunguzi wa taarifa zote kuhusiana na Tukio hilo na wakikamilisha basi Zitawekwa hadharani lakin baadhi ya watu waliohojiwa juu ya tukio hilo walisema Wamepewa ushirikiano Mbaya sana kutoka Kwa mchungaji Huyo.

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya. 

ISOME NA HII

TICHI NYASANI sacked after she denied her bosses Sexual favors.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top