Monday, August 18, 2014

ODAMA ALIKANA PENZI LA PEDESHEE.


Si kweli! Mtoto mzuri Bongo Movies, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amekanusha vikali madai ya kutembea na pedeshee mmoja anayedaiwa kuwa ni mmiliki wa baa moja iliyopo maeneo ya River-Side, Ubungo jijini Dar.Masogange Releases Another Killing Photo to Attact you for her Business that Shows Off Her Blessed Assets.

Baada ya kusomewa madai hayo ambayo yamesambaa kwenye mitandao ya kijamii, Odama alikanusha vilivyo na kusema wanamsingizia tu.“Hee! Mbona huyo mtu wala simjui, ndiyo kwanza nazisikia hizo habari wakizikuza kwenye mitandao,” alisema Odama.



Kwenye madai hayo mtandaoni, Odama anadaiwa kuwa hajatulia na ndiyo sababu ya kutomwanika baba mtoto wake, jambo ambalo mwenyewe amesema si kweli bali ni utaratibu wa maisha yake aliojiwekea wa kutomuanika mzazi mwenzake.


HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU Wakubwa Tu; Picha za u...pu za Mdada huyu alizopost mtandaoni apate KICK hizi hapa.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top