Wednesday, August 6, 2014

NAY WA MITEGO : NILISHUHUDIA BONGO MOVIE AKIJIUZA KWA JANAUME TOKA NJE YA NCHI.

MKALI wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego, amesema kuwa aliwahi kushuhudia staa mmoja wa filamu Bongo (jina tunalo) akijiuza kwa mgeni mmoja kutoka nje ya nchi na kwamba tukio kama hilo aliliona zaidi ya mara moja.

Dada etu Agnes Masogange azidhi kukoleza Utam Instagram kwa kaka zetu mnaokesha Kwenye Mtandao huo.



Msanii wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego akipozi.

Akizungumza na gazeti hili mapema juzi, Nay mkali wa nyimbo za Nakula ujana na Muziki Gani, alisema mabinti wengi wanacheza filamu siyo kwa ajili ya kujikwamua kimaisha, bali wanafanya hivyo ili kuuza sura ambayo baadaye huitumia kwa ajili ya kujiuza ili kujiingizia kipato.


Ona hapa kilichofuata baada ya huyu secretary kumvalia bosi kivazi cha ajabu.

“Mimi kila kitu ambacho huwa ninakiimba huwa kina ukweli ndani yake na niko tayari kwa mtu ambaye atahisi nimemuonea tutafikishana popote pale, nilishawahi kushuhudia mabinti wa bongo movie wakinunuliwa na wageni wanaokuja kutoka nje ya nchi,” alisema Nay.
KUMFAHAMU Bongo MOVIE HUYO ALIYEJIUZA BOFYA HAPA


Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top