
MCHUMBA wa aliyekuwa mshiriki wa Shindano la Maisha Plus (Season 2), Jack Dustan, Hamisi Ally ameibuka na kusema anamsaka mchumba wake huyo aliyepotea kwa takriban mwaka mzima tangu amvalishe pete ya uchumba.

Akizungumza na mwandishi wetu, Hamisi alisema kuwa alitarajia kuwa mpaka sasa wangekuwa wameshafunga ndoa lakini ghafla akasikia mchumba wake ametimka Bongo hivyo ndoto yake kuzimika.
Boko Haram kidnaps 100 young men in Borno Yesterday of Thursday, August 14, 2014.

“Yaani kwa kweli nimeumia ndoto yangu kutoweza kukamilika toka mwaka jana, nampenda sana Jack na nilitamani awe mke wangu, nimesiki yupo China bora anirudishie pete yangu, la sivyo nitaendelea kumsaka hadi kieleweke,” alisema Hamisi.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment