Jana kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM Jide aliweka picha hii ikionyesha mkono wake na pete ya harusi yao na kuandika” Kucha zimekosa rangi ya OriFlame tu, ili zing'ae zaidi ya hapo”
Wadau wengi ambao ni followers wake walimuelewa Jide alikuwa anamaanisha nini.. kitu ambacho kilitafsiliwa kuwa ni kuonyesha kuwa wenyewe bado ni wanadoa na hizo ni changamoto tu za ndoa kwahiyo watu wasishadadie sana ….. soma baadhi ya comments hapo chini:
BABY MADAHA APONEA CHUPU CHUPU KUBAKWA.
.jpg)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment