Tuesday, August 5, 2014

DU KISA MESSAGE; Nuh Mziwanda ABWAGANA na Shilole aka SHSH BABY.Msikilize hapa Mwenyewe akieleza.

Stori ya Nuh Mziwanda kujichora tatoo yenye jina la Shilole ilisambaa sana na wengi walikua wakijiuliza siku ikitokea wameachana itakuaje hasa upande wa Nuh ambaye ndiye aliyejichora tatoo hiyo.

nuhMaelezo ya Nuh Mziwanda yamedai kuwa sababu zilizosababisha waachane ni msg ambayo aliikuta kwenye simu ya Shilole ambayo inasemekana ilitumwa na mwanaume,Nuh alipomwambia Shilole apige alionekana kunikanyanga.


SHilole HUYO
Nuh Mziwanda kaongea na Soudy Brown kwenye You heard na kazungumza mambo mengi ambayo yametokea kwenye uhusiano wao.


Dada etu Agnes Masogange azidhi kukoleza Utam Instagram kwa kaka zetu mnaokesha Kwenye Mtandao huo.


Bonyeza play kusikiliza. kujichora tatoo yenye jina la Shilole ilisambaa sana na wengi walikua wakijiuliza siku ikitokea wameachana itakuaje hasa upande wa Nuh ambaye ndiye aliyejichora tatoo hiyo. BONYEZA PLAY HAPO CHII KUSIKILIZA


Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya. 

ISOME NA HII


Inasemekana Baada ya kauli ya Ally Kiba huu ni ujumbe WA MAJIBU kutoka kwa Diamond.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top