Friday, August 8, 2014

Boy friend mpya wa Jokate Mwegelo Huyu hapa.

Muigizaji wa filamu Tanzania Jokate Mwegelo ambaye pia ni Miss Tanzania no.2 wa mwaka 2006 anaonekana tayari amepata mpenzi mpya baada ya kupost picha inayoonekana katka mtandao mmoja wa kijamii akiwa na mwanaume mmoja jina halijatambulika haraka wakiwa kimahaba zaidi.

KATANGAZE: Aunt Ezekiel Afumaniwa na Dansa wa Diamond Ambaye ni Mme wa Mtu waki Du Nyumbani Kwa Wema Sepetu.



Wiki iliyopita Jokate ambaye pia ni mtangazaji wa  Channel O, mwanamuziki na designer alisema yupo single na anatafuta husband material.
(+18)DENTI WA CHUO AVUJISHIWA PICHA ZA UTUPU, BAADA YA KUJISAHAU NA KUMPA JAMAA FLASH YENYE GROUP WORK.


Bonyeza Like HAPO JUU USHINDE ZAWADI YA BAHATI NASIBU WAWEZA SHINDA HADI MILLION MOJA.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top