
Ray C ameandika “Come let’s talk Tid u are the best musician in East Africa please lets talk” maneno haya hakuna aliyejua Ray C anachomaanisha lakini cha kushangaza na ambacho kimeibua maswali ni jinsi TID alivyojibu comment hiyo.
Leo kupitia kipindi cha Xxl Tid ameelezea sababu ya kuandika hivyo ambapo amenukuliwa akisema “Mimi kama kuna mtu ananitafuta hawezi kunitafuta kwenye instagram, sijawahi kuwa na matatizo na Ray C sijamuona nina kama miaka 5 hivi”
“Hivi Ray C anataka kukutana na mimi nini anataka kuongea na mimi mbona hajanitafuta miaka yote ananitafuta sasa hivi mimi sijapenda sasa nakutuma wewe mwambie jamaa hataki kuonana na wewe”
“Sitaki kuongea nae, sitaki kukutana nae akaongee na ma boyfriend wake ambao anafanya nao vitu vibaya, mimi si wa namna yake aniache na familia yangu anaiche na mama yangu”

MSIKILIZE HAPO CHINI MANANKE WABONGO HAMUKAWII ETI HOO SIO KWELI ANASINGIZIWA.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment