Tuesday, July 8, 2014

MSANII TOKA BONGO MUVI: Mimi ni bikira , natoa nafasi kwa masomo kwanza sitaki kujichanganya na kuwa kituko mjini,”.


Diana akiwa katika pozi.
“Sijui kabisa mambo hayo na sijawahi kufanya upuuzi huo, ninaheshimu sana familia yangu baba yangu Mwigizaji wa kike anayetesa katika tasnia ya filamu Bongo Diana Rose kimaro ‘Diana’ amedai kuwa hana mahusiano ya kimapenzi na mwanaume yoyote na wala hafikirii kuwa na Boyfriend kwani yeye bado ni mwanafunzi na akili yake yote ipo katika masomo .

Wakati ukifika akiwa na maisha yake atachagua ni mwanaume yupi anastahili kuwa naye kwa maisha yake rasmi lakini si sasa.

WAJUE MASTAA WA KIBONGO WALIO TIWA MIMBA KIZEMBE ZEMBE;



“Sijui kabisa mambo hayo na sijawahi kufanya upuuzi huo, ninaheshimu sana familia yangu baba yangu ni mkali sana hataki ujinga. Kwa hiyo si rahisi kudili na wanaume, mimi ni  bikira , natoa nafasi kwa masomo kwanza sitaki kujichanganya na kuwa kituko mjini,” anasema Diana


Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top