Tuesday, July 8, 2014

HILI NDILO GARI AMBALO DIAMOND AMEMZAWADIA MAMA YAKE LENYE THAMANI YA MILIONI 38.


Muonekano wa gari hilo kwa nyuma.
Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38.1 aliyozawadiwa mama Diamond na mwanaye.


STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi, Sanura Kassim 'Sandra'.

Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 55 hapo jana katika hafla iliyohudhuriwa na mastaa kibao.

PICHA ZA BINTI WA TZ MWENYE ASILI YA KINYARWANDA AMBAYE DAVIDO ANAMTAKA HIZI HAPA.



Gari lililotolewa ni Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38.1. Diamond amekabidhi gari hilo kupitia kwa meneja wake, Babu Tale wakati yeye akiwa nje ya nchi.

Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top