KIAPO! Modo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto amefunguka kuwa katika maisha yake, kamwe hawezi kushea penzi na mwigizaji Wema Isaac Sepetu ‘Beutiful Onyinye’.
Akistorisha na Ijumaa Wikienda, Hamisa alisema watu wamekuwa wakimkosea kumtaja kuwa anaweza kutoka na Diamond Platnumz wakati hawezi kufanya hivyo hata iweje!
Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ akiwa na mpenzi wake Diamond Platinumz.
“Siwezi kushea penzi na Wema hata siku moja, niaminini, nina maisha yangu mengine kabisa wapo wanaoweza kufanya hivyo lakini si mimi,” alisema Hamisa.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment