Sunday, June 8, 2014

Breaking!! Mzee Small amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar.


Muigizaji mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar. Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili. Mtoto wa marehemu aitwaye, Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee Small. MUNGU AILAZE ROHO YA
MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!

Kutoka kushoto ni Mhariri wa Championi Jumatano, Phillip Nkini, Mzee Small enzi za uhai wake, Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally na Mwandishi wa Championi, Hans Mloli wakielekeq nyumbani kwa Mzee Small.

Tafadhali bofya like hapo juu kama bado hujabofya upate habari mpya haraka

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top