Tuesday, April 8, 2014

Kweli Dudu Baya ni BAYA haswaa yaani amefikia kumkata sikio mama yake, Mkanda kamili huu hapa.


 Kupitia U Heard ya leo na Gossip Cop, story ni kuhusu Dudu Baya kumkata skio mama yake mkubw, kwa madai kuwa anamloga ndio maana hafanyi vizuri katika kazi zake za mziki.

Kwa mujibu wa mdogo wake kabisa (baada ya kuzaliwa yeye) amethibitisha kutokeakwa tukio hilo

"yah kafanya hivyo,  ni jambo la kusikitisha unajua ni hivyo, lakini sasa ndio hivyo kashafanya, kaenda kule kwa mama mkubwa kamkata skio, sababu haijulikani ni kwasababu gani kaenda kufanya hivyo, hata kama alikuwa na sababu halikuwa jambo la busara kumkata skio"

"nilienda nikamuuliza nani amemkata skio akasema ni mheshimiwa, akadai kwamba alikuwa anamwambia anamloga sijui nini, mambo ambayo hayana hatia
ya msingi kwa ujumla, kwasababu hata ukiangalia yeye ni motto wala haumwi chochote wala wala mwanae hawaumwi ni mzima sasa amemroga nini........"kumsikiliza bofya hapa
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top