Thursday, April 24, 2014

Je wajua kinachoendelea kati ya Joti na Lulu, Yetu macho wacheki hapa.


 waoh they look georgious with their frendship, wamekutana hapo panya wawili full kuchekeshana haha, so good for them, kwa sasa mastaa hao wawili lulu michael na joti mdebwedo wapo pande za mbeya kwenye shindano la kusaka vipaji vya wasanii wa uigizaji wa filamu, To them so lovely watu na mashabiki wanatamani watu hao wangekuwa couples lakini ndo hivyo ni freinds, n basi wangekuwa couples hakuna ambaye angebisha mahusiano yao yangefananishwa kama ya mastaa wa mbele beyonce na jayz.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top