Msanii wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha.
MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steve Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema anashindwa kumtathimini msanii wa filamu na muziki Bongo, Baby Madaha kutokana na kujitenga na wasanii wenzake.
Akifafanua kauli yake, Steve alisema mwanadada huyo anamshangaza sababu hajui yupo kundi lipi kwa kuwa kwenye Bongo Movie hayupo na wala hana kadi ya chama chochote akiwa kama msanii na mbaya zaidi hajitokezi kujumuika na wenzake.“Hana kadi ya chama chochote na isitoshe anajitenga na wasanii wenzie, hahudhurii kwenye shughuli yoyote ile iwePaparazi wetu alipomtafuta Baby Madaha kuzungumzia ishu hiyo alisema ana mambo mengi ya kufanya ndiyo maana huwa hashirikiani na wenzake, akipata nafasi atahudhuria.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment