Monday, March 3, 2014

Wadada mkiwachekea macameraman mtaphotolewa hadi kusikophotoka.


Hebu cheki hii picha alafu niambie huyu cameraman anadai "bado ngoja nipige nyingine" na ndo kwanza anazidi kujisogeza anataka kupiga picha maeneo gani sasa??

Kuweni makini wadada hawa jamaa wanakupiga picha leo kesho utazikuta mtandaoni haya kazi kwenu hasa nyinyi mnao jif......
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top