Wiki iliyopita Diamond Platnumz alisema anatarajia kusafiri kwenda nchini Nigeria (March 30) kwaajili ya kufanya video ya wimbo wake mpya aliofanya collabo na mastaa wa huko.

Diamond akiwa na Bab Tale tayari kwa safari yao .Usiku wa kuamkia leo Platnumz amepost picha Instagram akiwa ameongozana na meneja wake Bab Tale wa Tip Top Connection, wakiwa uwanja wa ndege JNIA tayari kwa safari yao ya Lagos.
Hivi karibuni hit maker huyo wa ‘Number 1’ alisema mbali na kushoot video, kitu kingine anachoenda kukifanya Nigeria ni pamoja na kufanya collabo zaidi na wasanii wa huko kwa lengo la kuliteka soko la Afrika kwa ujumla.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment