Hawa ni wanakwaya wa kanisa moja nchini kenya(Jina tumelihifadhi kwa sababu maalumu)
wakionesha baadhi ya mavazi wanayovaa waendapo kanisani hasa mikesha ya usiku.
Mimi sina la kukushauri ndugu msomaji utaamua mwenyewe ili mradi umeona na unaweza kusoma.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment