Ndg.Ridhiwani Kikwete Mgombea wa ubunge katika Kura za Maoni za CCM jimbo la Chalinze akijipigia Kura , pia akipanga mstari katika uwakilishi wa Kata anayotoka ya Msoga.Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,Ilikuwa hivi:_1.
Ridhiwani Kikwete kura 758 2.Shaban Iman Madega kura 335 3.Athuman Ramadhan Maneno kura 206 4.Changwa Mohamed mkwazu kura 12Kura zilikuwa 1363 zilizo Haribika 5 na Halali ni kura 1316 Wagombea wa Ubunge Chalinze kwa tiketi ya ccm walikuwa ni:-1.Ndg.Ridhiwani Kikwete, 2.Shaban Iman Madega, 3.Athuman Ramadhan Maneno 4.Changwa Mohamed mkwazu.



Tarehe 9/3/2014 KUCHUKUA FOMU
Tarehe 11/3/2014 KURUDISHA
Tarehe 15/3/2014UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CCM
Uchaguzi huo unafanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Said Ramadhani Bwanamdogo (CCM)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment