Tuesday, March 4, 2014

Kanisa hatari kufungiwa baada ya wanakwaya kuvaa mavazi ya ovyo.

 Hawa ni wanakwaya wa kanisa moja nchini kenya(Jina tumelihifadhi kwa sababu maalumu)
wakionesha baadhi ya mavazi wanayovaa waendapo kanisani hasa mikesha ya usiku.


Mimi sina la kukushauri ndugu msomaji utaamua mwenyewe ili mradi umeona na unaweza kusoma.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top