Friday, March 28, 2014

Jionee hapa picha za mdada huyu anavyo waacha wanaume wakidondoka udenda kwa umbo lake.

Huyu mdada unaambiwa mtaani anakokaa amekuwa gumzo sana kwani huwa akitoka tu labda apande gari lakini kama anatembea basi mtaani huwa wanaume wanapandwa na joto kiasi cha haja ya kuwadondoka udende kisa maumbile yake yalivyo yaani hasa kuanzia kiunoni kushuka chini.

Alafu balaa lake jingine ni kwamba anapenda kuvaa vipedo ambavyo vimembana na kuzidi kuwaacha wanaume midomo wazi.


Yetu Macho si unajua hayana pazia.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top