Friday, March 28, 2014
Hivi ndivyo mvua inavyowaghadhabisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam.
Mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia jana na leo imesababisha maafa kwenye
baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam ambapo maji yamejaa sehemu nyingi huku wafanyabiashara wadogo miavuli yao na vitendea kazi vikisombwa na maji huku mashimo
yaliyokuwa yamechibwa katika utengenezaji wa barabara yakizidi
kuporomoka.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment