Friday, March 21, 2014

Askari mmoja kutoka kikosi cha usalama barabarani mkoani Morogoro amegongwa na gari.

Askari wa  kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro Analijulina Bw Crispan 'Mandela' amegongwa na gari eneo la Mtawala Barabara inayotoka Msavumu  kuingia katikatika ya Mji wa Morogoro.Hii ni Mara ya Pili kwa Askari Huyo Kugongwa na Gari Mkoani Hapa.


Tukio hilo lilitokea jana wakati Askari Huyo alipokuwa Eneo la Kituo cha kushusha Abiria Kwenye Shule ya Msingi Ya Mtawala Mkoani hapa
Kwa sasa Afande huyo ambaye hii ni mara ya pili kugongwa na gari akiwa kazi imelazwa wodi namba moja hospiatal ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro.
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top