Bahati nzuri imetufikia sasa cha kuuliza kwamba mtoto huyu akikua na akawa na tabia hizo nani atalaumiwa kama sio wao na kwa staili wazazi mnatakiwa kubeba lawama zote za mambo mabaya ya watoto wenu kwani wanasema Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Thursday, March 13, 2014
Browse » Home »
udaku
» Angalia picha hii jinsi mtoto anavyofundishwa khanga moko akikua balaa lake litakuaje.
Angalia picha hii jinsi mtoto anavyofundishwa khanga moko akikua balaa lake litakuaje.
Camera man wetu amebahatika kuwakuta akidada wakimfindisha mtoto kukatika staili ya khanga moko mitaa ya Makolora huko Tanga na hii hapo juu ndo picha ambaye camera man aliweza kuphotoa kabla hajazuiliwa na madada hao na kumtaka aondoke kwani anawaharibia siku.
Bahati nzuri imetufikia sasa cha kuuliza kwamba mtoto huyu akikua na akawa na tabia hizo nani atalaumiwa kama sio wao na kwa staili wazazi mnatakiwa kubeba lawama zote za mambo mabaya ya watoto wenu kwani wanasema Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Huyu akikua hataacha tabia zinazofanana na huyu mdada hapa chini.
Bahati nzuri imetufikia sasa cha kuuliza kwamba mtoto huyu akikua na akawa na tabia hizo nani atalaumiwa kama sio wao na kwa staili wazazi mnatakiwa kubeba lawama zote za mambo mabaya ya watoto wenu kwani wanasema Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment