Wednesday, February 12, 2014

Video trailer ya movie mpya ya Vincent Kigosi (Ray) hii hapa ;Wolper kafunika mbaya icheki mwenyewe..

Vincent Kigosi aka Ray kupitia kampuni yake, RJ Company ameachia trailer ya filamu yake mpya iitwayo Hard Price aliyoigiza na wasanii mbalimbali wakiwemo Jacqueline Wolper, Gabo na Sabrina Tamim aka Sabby Angel. Tazama trailer yake hapa pamoja na picha za screenshot kutoka kwenye trailer hiyo.
Baadhi ya picha ni hizi;



Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top