STAR wa movie ya prison break awashangaza mashabiki zake ulimwenguni kufatana na kitendo cha kujitangaza kuwa yeye ni shoga na hatimaye kupost picha za basha wake mtandaoni kwani nia ya kumtangaza officially basha huyo.
Tumefanikiwa kuzinyaka picha hizo ndo hizi hapa.
Hapa akiwa na jamaa lake.
Kama ulikuwa mshabiki Prison break tupe maoni yako.




0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment