Friday, February 14, 2014
Browse » Home » » Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa amechukua fomu leo.
Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa amechukua fomu leo.
Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Iringa, Pedenciana Kisaka akimkabidhi fomu za
uteuzi za kuwania ubunge wa jimbo la Kalenga, Mgombea wa CCM Godfrey Mgimwa leo
Godfrey Mgimwa (wa pili kushoto) akisindikizwa na wana CCM wenzake kwenda kuchukua fomu za kuwania ubunge wa jimbo la Kalenga kwa Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Iringa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment