Thursday, February 6, 2014

Mcheki hapa BAUNSA aiyepewa kazi ya kumlinda Diamond na mkewe Wema; Full MAFIA boy.

Alikuwa aende kuendelea na kazi yae kwa AZONTO ila Diamond kamuahid mkwanja zaidi yaule wa GHANA na kufanukiwa kumbakiza tz.
 
 Baunsa maarufu kama Rosse akiwa na Azonto mwishoni mwa mwaka jana ambapo mwanamuziki huyo wa Raia wa Ghana alikuwa amempa shavu la kwenda kumlinda nchini Ungereza lakini Diamond amemzuia ili amlinde yeye na Mkewe Wema.
 Hapa Baunsa huyo akiwa na Diamond baada ya kumzuia asiende nchini Ungereza kwa mshahara wa shilingi laki tano kwa wiki huku kwa siku pia akichukua posho ndefu. pamoja na kula vinono na mshua wake.

Tafadhali bofya like kama bado hujabofya kwenye page yetu

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top