Sunday, February 2, 2014

Mbunge Mtarajiwa wa Moro Mjini Afande sele aunga kauli ya Obama kuwa Bangi haina madhara.

Afande Sele ameungana na Rais wa Marekani Barack Obama katika kuunga mkono kauli yake ya kwamba bangi ni salama kuliko pombe kwa afya ya binadamu.

Akiongea na kipindi cha Milazo XP kinachorushwa na TBC fm, Afande Selle, mbali na kuunga mkono pia alizungumzia umuhimu wa bangi kama zao linaloweza pia kuwa na manufaa kwa uchumi wa nchi kama litatumiwa kwa usahihi.

Tafadhali bofya like kama bado hujabofya kwenye page yetu

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top