Friday, February 7, 2014

Kijana akatwa mkono kwa wizi wa simu na kuachiwa aende zake Mwanza.

kiganja cha mwizi kilichokatwa na kisha mwizi kuachiwa aende zake
Kijana mmoja ambae hakujuilkana jina lake mpaka anaondoka maeneo ya Buzuruga mjini mwanza aliambulia kukatwa mkono wake baada ya kukamatwa akiwa ameiba simu ya mama mmoja aliekuwa amepanda nae daladala.

katika hali ya kustaajabisha mwizi huyo baada ya kukamatwa watu walisema inabidi apewe adhabu itayomfanya asirudie tena kuiba, ndipo walipoamua kumkwata mkono na kumuacha aende zake
Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top