Ni kwamba, haipo dawa ya asili inayo weza kurejesha bikira kwa mwanamke.
Dawa zilizopo ni dawa za kichina, na zinamadhara.
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, mwanamke anaye tumia dawa za kichina kwa ajili ya kurejesha bikira yake anajiweka katika hatari kubwa sana ya kupatwa na ugonjwa wa kansa kutokana na kemikali mbalimbali zinazo patikana katika dawa hizo.
USHAURI WETU :
Tunashauri usitumie dawa za kichina kwa ajili ya kurejesha bikira kwa sababu madhara yake ni makubwa sana.
UTUMIE DAWA GANI?:
Hakuna dawa ya kurejesha bikira, dawa za asili zilizopo ni dawa zinazo fanya kazi ya kuufanya uke kuwa tight sana lakini hauwi bikira.
Bikira ikishatoka haiwezi kurudi tena.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment