Friday, January 17, 2014

Mtangazaji wa Clouds FM Diva afunguka nia yake ya Kuingia Mjengoni Rasmi @2015.

Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho kutoka Clouds Fm Ҕhe peopleӳ StationҠleo kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ikiwa na maneno haya chini.

‘Natangaza nia ya kugombania ubunge 2015 na kuingia kwenye siasa rasmi 2015,Kama mwanasiasa kijana nina mengi ya kusaidia Taifa na jamii inayotuzunguka yenye vijana wengi,i want to inspire and motivate and i want my voice to be heard,i want to speak up and there’s no turning back,God is Good,i need all strength and i got the big support in this from my close friend,solidarity madaraka kwa umma.
Huo ndiyo ujumbe uliosomeka kwa Diva ingawa bado hajaweka wazi jimbo atakalogombea,Kama atafanikiwa kuingia bungeni Diva atakua kwenye list ya miongoni mwa watangazaji na vijana walioingia kwenye siasa wakiwa na umri mdogo.

CREDIT:MILLARD.AYO

Tafadhali bofya like kama bado hujabofya kwenye page yetu

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top