Wednesday, January 29, 2014

Msanii wa vichekesho KINYAMBE anusurika kulawitiwa na MABAUNSA...Soma hapa.


Na Mwandishi watu wa  Xdeejayz & Boss ngasa
Msanii aliyejichukulia umaarufu mkubwa kutokana na stairi yake ya uigizaji imesemekana ilikuwa alawitiwe endapo angenasa mtego huo wa fumanizi lakini kwa bahati mbaya 
fumanizi hilo lilidunda.


Habari za uhakika zilizofanywa na webesite hii baada ya wiki iliyopita kuzuka habari za kufuamaniwa kwa msanii huyo aliyefahamika kwa jina la Kinyambe. 


Paparazi wetu ambae alifika eneo la Kawe ambako ndiko inakodaiwa msanii huyo alifumaniwa wakiongea kwa sharti  ya kutotajwa majina yao walisema" Huyu jamaa Mungu alikuwa upande wake kwani huyo jamaa mwenye mke alikuwa ameshaandaa mabaunsa kwa ajili ya kumlawiti msanii huyo lakini kwa bahati mbaya fumanizi hilo lilidunda" Alisema mama mmoja ambae aliongeza kusema mabaunsa hao walikuwa wanne.
 


Mwandishi wetu alimtafuta Kinyambe kupitia simu yake ya mkononi aliendelea kusisitiza kuwa hakufumaniwa na wala hajawahi kufumaniwa huo  ni mpango wa kumchafua.


Tafadhali bofya like kama bado hujabofya kwenye page yetu

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online