Msanii wa kundi la Futuhi Mzee Dude amefariki dunia Leo mida ya saa kumi na moja jion.
Habari zinasema kuwa alizidiwa jana Jumapili na kukimbizwa katika hospitali ya Bugando jijini Mwanza.
Tunatoa pole kwa wote wanaohusika na msiba huu.
Show your Support. Become a FAN! By Clicking Like Below
Kuwa. Msomajiwetu! Kwa kubofya Like Hapo chin
Contact Us
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment