Viongozi wa Jumuiya na Taasisi mbalimbali za dini ya Kiislam wakiwa katika mkutano huo.
Sheikh Ally Baswalehe akisikiliza swali.
JUMUIYA na Taasisi za Kiislam nchini, jana Septemba 9, mwaka huu zilitoa tamko kuhusiana na vitendo vya kudhalilisha walivyofanyiwa masheikh wanaotuhumiwa kwa ugaidi.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment