Monday, September 15, 2014

MAHABA NIUE; AUNT, MUME WA MTU TENA.

 Staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson akiwa na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ wakielekea Uwanja wa ndege.

Mahaba niue! Baada ya penzi la staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson na dansa wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Moses Iyobo ‘Moze’ kushamiri kwa kasi ya umeme, wawili hao wamenaswa wakisindikizana kimalovee kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar.

Tukio hilo lililopigwa chabo na mwanahabari wetu mwanzo mwisho, lilijiri Ijumaa iliyopita ambapo wawili hao walionekana wakiingia pamoja kimahaba eneo hilo.

POMBE YAMTIA AIBU ANTI LULU HADI KULIWA MATE HADHARANI...ANGALIA PICHA ZA TUKIO ZIMA HAPA.

Aunt ambaye ni mke halali wa Sunday Demonte anayedaiwa kufungwa Uarabuni kwa msala wa madawa ya kulevya, alionekana na Iyobo ambaye pia ni mume wa mtu (Mwengy) wakishikana mikono katika sehemu ya kukagulia mizigo kisha wakaagana kwa mabusu motomoto.

Mwanahabari wetu alipomuuliza Aunt kulikoni, alifunguka: “Nakwenda Marekani lakini wengine wote unaowaona wananisindikiza kama desturi ya watu kusindikizana.”Kweli? Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Ally Musa, mkazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro anadai kukimbiwa na mkewe aliyemtaja kwa jina moja la Sauda.

Aunt Ezekiel na Moses Iyobo wakiagana Uwanja wa ndege.

Akizungumza na gazeti hili, mume wa Sauda alisema kwamba, mkewe huyo ambaye alifunga naye pingu za maisha mwaka 2009, siku zote za maisha yao ya ndoa walikuwa wakiishi kwa amani na furaha tele lakini mwishoni mwa mwaka jana ndipo alipomkimbia.

“Nasikitika sana, tulifunga ndoa kubwa ya kifahari na siku zote tuliishi kwa upendo na furaha tele, cha ajabu nilianza kumuona anabadilika tabia kutokana na marafiki wa ajabuajabu aliokuwa nao, akaanza kunidharau mwisho akanikimbia,” alisema.

WASTARA: STAREHE YANGU KUBWA NI KUFANYA MAPENZI.

Baada ya kusikia upande wa mwanaume huyo, ili kupata mzani wa habari hiyo, gazeti hili lilimsaka Sauda kwa njia ya simu ambapo ilikuwa ikiita bila kupokelewa na hata alipotumiwa sms hakujibu hivyo bado linamsaka.

Akizungumza na gazeti hili, mume wa Sauda alisema kwamba, mkewe huyo ambaye alifunga naye pingu za maisha mwaka 2009, siku zote za maisha yao ya ndoa walikuwa wakiishi kwa amani na furaha tele lakini mwishoni mwa mwaka jana ndipo alipomkimbia.

Aunt Ezekiel akipozi kwenye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar.

“Nasikitika sana, tulifunga ndoa kubwa ya kifahari na siku zote tuliishi kwa upendo na furaha tele, cha ajabu nilianza kumuona anabadilika tabia kutokana na marafiki wa ajabuajabu aliokuwa nao, akaanza kunidharau mwisho akanikimbia,” alisema.

Baada ya kusikia upande wa mwanaume huyo, ili kupata mzani wa habari hiyo, gazeti hili lilimsaka Sauda kwa njia ya simu ambapo ilikuwa ikiita bila kupokelewa na hata alipotumiwa sms hakujibu hivyo bado linamsaka.

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top