hii ilitokea juzi wakati laila odinga ambaye kwa sasa anaishi Boston alipokwenda kumpokea mke wake ambae alikwenda kumuona, wawili hao walibusiana kama vijana wa miaka 18 na kuwaacha abiria walioudhuria kwa ajili ya safari mbalimbali wakiwa midomo wazi.
Thursday, July 3, 2014
WAZIRI WA ZAMANI WA KENYA AWAACHA WATU MIDOMO WAZI BAADA YA KUMLA MATE MKEWE UWANJA WA NDEGE.
hii ilitokea juzi wakati laila odinga ambaye kwa sasa anaishi Boston alipokwenda kumpokea mke wake ambae alikwenda kumuona, wawili hao walibusiana kama vijana wa miaka 18 na kuwaacha abiria walioudhuria kwa ajili ya safari mbalimbali wakiwa midomo wazi.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment