Katika hali isiyo ya Kawaida kijana mmoja ameikacha lifti ya Mdada mmoja ambaye anafanya nae kazi katika ofisi moja maeneo ya Taifa.
Mdada huyo alimkuta kijana akisubiri Dala dala maeneo ya Tabata Relini na akasimama ampe lifti.
Kijana alienda akafungua mlango ndipo akamcheki mdada mwenyewe hapo juu akasema Tangulia Nitafuata.
Toa Maoni yako Hao Chini Kuhusu Tukio Hilo
Bonyeza Like hapo juu uwe wa kwanza kupata habari mpya.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment