Wednesday, March 5, 2014

Unastaajabu ya Iringa ona haya ya Indonesia, Nyama ya mbwa yapatikana Supermarket.

 Mbwa wakisubili kupasuliwa.
Nchini Indonesia kula mbwa sio jambo la kushangaza wala geni kwani  nyama yao inapatikana hadi supermarket.
Roasted Dogs, Snake meat and whatever else fancies your taste Buds can be found in Tomohon Market in Indonesia.


Kamera man wetu ameweza kuthibitishiwa suala hilo kwani mwanzoni alidadisi lakini baada yakuoneshwa live mbwa hao waliobabuliwa swakisubiri kupasuliwa na kuhifadhiwa ilibdi akubali.


Pia akajionea namna nyoka wanavyoandaliwa na kuliwa cheki picha hizi hapa.
 
Mbwa wakisubiri kushugulikiwa.
nyoka nao wanasubiri kuandaliwa kitoweo.
Hapa nyoka tayari wamepasuliwa.

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top