Tuesday, March 4, 2014

Cheki video iyorekodiwa Wema Sepetu ikimuonesha mmeo Diamond akiwa anakula mgahawani..


Staa wa Filamu za Kibongo, Wema Sepetu amemrekodi mpenzi wake, Diamond Platnumz akipata msosi katika mghahawa wa Indian Cuisine (Video: Instagram).
Kweli hawa jamaa safarii hii wamedhamiria sijui kama watazinguana tena.


Hii ndo video yenyewe.

Share this article

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top