Saturday, February 8, 2014
Diva amfanyia Surprise Adam Mchomvu kwa zawadi siku ya VALENTINE .
Watangazaji maarufu wa redio ya watu clouds fm wanao famoka kwamajina Adamu mchomvu na Diva Lovenes love wanaone kana kwenye picha wame kuwa wahamasishaji wakubwa kwa watu kutoa zawadi kwa wapenzi wao kipindi hichi hasa siku ya valentine hasa wakiwa kwenye vipindi vyao.Ndipo Diva kumpa zawadi ya wimbo wa oooh baby kwa mchomvu katika kipindi chake {dedication to AD PLUs}...nakutoa za wadi kwako kwaku kuendelea kukupa tips za valentime kilasiku mpaka tareh 14'2'2014.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment