Iliyotufikia sasa; NAIBU WAZIRI Dk. Lucy Nkya ARUSHIANA RISASI ZA MOTO NA MWANAE WA KUMZAA.
Naibu Waziri wa zamani wa Afya, Dk. Lucy Nkya.
Naibu Waziri wa zamani wa Afya na mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Lucy Nkya, amerushiana risasi za moto na mwanae wa kumzaa, Jonas Nkya ndani ya ofisi zao mkoani Morogoro muda huu.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment