Tuesday, September 23, 2014
MSANII SHILOLE APOROMOSHEWA MATUSI MARA BAADA YA KUWEKA PICHA TATA KWENYE MTANDAO WA KIJAMII.
yaani
kiukweli siku ya leo ndio nimeamini kuwa staa hususan katika nchi kama
hii yetu wanakazi sana leo imemtokea mwanadada shilole mara tu baada ya
kupost picha yake iliyopo hapo juu kwenye mitandao ya kijamii na kuanza
kuporomoshewa matusi
KUONA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment