Spain wameaibuk kidedea kwa kumpiga Mtu Mabao ma 5 wakiipiza kile waichofanya na neehrlands Katika kombe la Dunia.
Magoli ya Spain Yalifungwa na Sergio Ramos 15',Paco Alcácer 17',Busquets 45'+,David Silva 50',
Pedro 90'+ Huku Lile la kufutia machozi la MaceDonia likifungwana A. Ibraimi 28'.
Hadi kipenga kinapulizwa
Spain 5-1 Macedonia.
Mechi nyingine Kali kwa jana ni Ile ya
Switzerland 0-2 England Ambapo England waliibuka na ushindi wa 2-0 Mabao yote yakifungwa naMshambuliaji wke D. Welbeck 58', 90'+.
HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA
PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment