Tuesday, September 9, 2014

MAHAKAMA YAAMURU KABURI LA MUME KUFUKULIWA HUKO MOSHI.


Askari Polisi wakisimamia zoezi la ufukuaji wa kaburi hilo.

Wachimabji wa Kijiji cha Mandaka wilaya ya Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro wakifukua kaburi la Marehemu Stephen Assey  jioni ya jana kwa amri ya mahakama.

Msalaba uliokuwepo kwenye kaburi hilo ukiwa pembeni.

Uamuzi wa kufukuliwa kwa kaburi hilo umefikiwa baada ya mke anayedaiwa kuwa ni wa ndoa wa marehemu Stephen Assey, Bi. Lucy Laurent kwenda mahakamani kuweka zuio la kuzikwa kwa marehemu katika eneo ilipo nyumba aliyokuwa akiishi na mke mdogo aliyefahamika kwa jina la Fortinata Lyimo.

Kutokana na hali hiyo mahakama ya Hakimu mkazi Moshi iliamuru kufukuliwa kwa kaburi na mwili kuhifadhiwa hosptali hadi pale uamuzi wa mwisho utakapofanywa na mahakama hiyo.

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

TAZAMA PICHA CHAFU ALIZOPIGA HUYU MWANAFUNZI WA CHUO NA BOYFRIEND WAKE KISHA KIZIPOST FB.

PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top