KUONA WASHIRIKI ZAIDI boFA hapo CHiN.
Tuesday, September 23, 2014
HUYU NDIO MDADA ATAKAYEIWAKILISHA TANZANIA KATIKA BIG BROTHER KAMA MSHIRIKI WA PILI!
M-Net na wameendelea na utaratibu wa kutangaza washiriki wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali Africa, na katika majina matatu yaliyotajwa yamemjumuisha Mtanzania wa pili atakayewakilisha katika shindano hilo, mrembo Irene Laveda.Irene ataungana na Idrisa kuiwakilisha Tanzania katika mashindano hayo yatakayochukua siku 63 badala ya siku takribani 90 zilizozoeleka. Washiriki wengine waliotajwa ni Kacey Moore kutoka Ghana na JJ kutoka Zimbabwe.
KUONA WASHIRIKI ZAIDI boFA hapo CHiN.
KUONA WASHIRIKI ZAIDI boFA hapo CHiN.
0 comments:
ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA
Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko PamojaPost a Comment