Wednesday, September 10, 2014

BI MWENDA AMEMTAKA RAIS WA BONGO MOVIE UNITY AJIUZULU.

MKONGWE wa uigizaji Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’ amemtaka Mwenyekiti  wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ asijiuzulu kwani kazi aliyoifanya hadi sasa ni kubwa na nzuri.

Mkongwe wa uigizaji Fatuma Makongoro ‘Bi. Mwenda’

“Mimi nashangaa haya maneno yanatokea wapi sijui, lakini sipendi kusikia Steve Nyerere amejiuzulu na kama akijiuzulu, atakayekuja hawezi kuwa kama yeye ni mtu wa watu, hachagui habagui,” alisema.

ZIFAHAMU HATUA MUHIMU UNAPOFIKIRIA KUTONGOZA.


Mwenyekiti  wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’

Aidha alisema katika kipindi cha uongozi wake, klabu yao imekuwa na maendeleo makubwa.
“Katika viongozi waliopita hakuna hata aliyeleta maendeleo ya klabu yetu zaidi ya majungu tu, hata hivyo mimi naona Steve yuko sahihi sielewi wenyewe wanajifikiriaje,” alisema.

HATA KUBONYEZA KA Like Tu Hapo JUU HUTAKI; BONYEZA BASI MPEDWA

MWANAFUNZI MWINGINE WA CHUO APIGA PICHA ZA UCHI NA KUZITUPIA FB ZICHEKI HAPA.

PIA ISOME NA HII HAPA CHINI INAKUHUSU

0 comments:

ASANTE KWA KUTEMBEA BLOGU YAKO::KARIBU SANA

Toa Mani yako Hapa usiogope Tuko Pamoja

Post a Comment

 
Copyright © 2014 Chopa News • All Rights Reserved.
| Template Design by Anga Zio Team • Powered by Blogger online
back to top